Ezekiel 40:21

21 aVyumba vyake vilikuwa vitatu kila upande, kuta zilizogawanya vyumba na baraza ilikuwa na vipimo sawa na zile kuta za lango la kwanza. Zilikuwa na urefu wa dhiraa hamsini na upana wa dhiraa ishirini na tano.
Dhiraa 25 ni sawa na mita 11.25.
Copyright information for SwhKC